Tino Ze Mastermind: August 2017

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Diamond Platnumz, AliKiba kwenye tuzo hizi kubwa Barani Afrika….

Majina yametoka ya Vijana wanaowania Tuzo za VIJANA 100 WA AFRIKA wenye ushawishi mkubwa kwa jamii katiika Nchi zao na Barani Afrika kwa mwaka 2017.

Watanzania wanne Wamechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za Vijana 100 wa Bara la Afrika wenye ushawishi mkubwa Kwenye Nchi wanazotoka na Barani Afrika.

Tanzania imewakilishwa na Msanii Alikiba, Diamond Platnumz,Mwigizaji Lulu Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata.






Young Dee aomba radhi kwa picha hii na Amber Lulu kusamba mitandaoni.

Kupitia instagram yake , Paka Rapa Young Dee ameomba radhi kwa picha hii na Amber Lulu iliyosamba mitandaoni.

“Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa behind the scene lengo haswa la photoshoot ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki”Scortish” kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! Na kwa mashabiki wote! So sad!”

BREAKING : RAIS WA TFF ATANGAZWA.

Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi mkuu wa TFF Revocatus Kuuli amemtangaza Wallace Karia kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kufuatia uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyika leo Makao Makuu ya Tanzania Dodoma.

Wallace Karia ameibuka mshindi wa nafasi ya Urais wa shirikisho hilo huku nafasi ya Makamu ya Rais ikichukuliwa na Michael Wambura, kwa matokeo hayo Wallice Karia anakuwa mrithi wa aliyekuwa Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Jamal Malinzi Katika uchaguzi huo wajumbe waliweza kuchagua Kamati ya Utendaji wa TFF katika kanda mbalimbali ambao ni

Sarah Chau (Arusha na Manyara)

Mbasha Matutu (Shinyanga & Simiyu
Vedastus Lufano (Mara na Mwanza)

Mohamed Abeid (Dodoma & Singida)
Dustan Ditopile (Lindi & Mtwara)

James Patrick (Njombe & Ruvuma)

Lameck Nyangaya (DSM)

Khalid Mohamed (Kilimanjaro na Tanga)

Francis Ndulane  (Pwani na Moro)

Elias Mwanjala (Mbeya & Iringa)

Kenneth Pesambili (Rukwa & Katavi)

Issa Mrisho (Kigoma & Tabora)

Salum Chama ( Kagera na Geita)

Rais wa TFF Wallace karia akifurahi jambo Mara baada ya kutangazwa Rais wa  TFF.