BREAKING : RAIS WA TFF ATANGAZWA. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

BREAKING : RAIS WA TFF ATANGAZWA.

Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi mkuu wa TFF Revocatus Kuuli amemtangaza Wallace Karia kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kufuatia uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyika leo Makao Makuu ya Tanzania Dodoma.

Wallace Karia ameibuka mshindi wa nafasi ya Urais wa shirikisho hilo huku nafasi ya Makamu ya Rais ikichukuliwa na Michael Wambura, kwa matokeo hayo Wallice Karia anakuwa mrithi wa aliyekuwa Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Jamal Malinzi Katika uchaguzi huo wajumbe waliweza kuchagua Kamati ya Utendaji wa TFF katika kanda mbalimbali ambao ni

Sarah Chau (Arusha na Manyara)

Mbasha Matutu (Shinyanga & Simiyu
Vedastus Lufano (Mara na Mwanza)

Mohamed Abeid (Dodoma & Singida)
Dustan Ditopile (Lindi & Mtwara)

James Patrick (Njombe & Ruvuma)

Lameck Nyangaya (DSM)

Khalid Mohamed (Kilimanjaro na Tanga)

Francis Ndulane  (Pwani na Moro)

Elias Mwanjala (Mbeya & Iringa)

Kenneth Pesambili (Rukwa & Katavi)

Issa Mrisho (Kigoma & Tabora)

Salum Chama ( Kagera na Geita)

Rais wa TFF Wallace karia akifurahi jambo Mara baada ya kutangazwa Rais wa  TFF.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More