Tino Ze Mastermind

Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Latest Post

FULL STORY : Mambo 8 aliyosema Diamond Platnumz kuhusu Mahusiano yake na Hamisa Mobetto, Mtoto wao na kama Zari anajua.

Kwenye mahojiano na kituo cha Radio cha Clouds Fm #LeoTena Leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi mambo yote kati yake na Hamisa, Mtoto wao , Mahusiano yake na Zari na anachofanya kulea mtoto vizuri.



Kuhusu Hamisa kuvujisha Clip zao Pamoja>Hamisa kuvujisha Clip akidhani nitaachana na Zari, hio HAITOTOKEA, Nitapiga hata magoti na kutembea mpaka South, Kuna Clip zingine Hamisa alinirekodi bila kujijua,labda alikua ana malengo yake mwenyewe

Kuhusu Hamisa Kujifungua >Nilimuomba Mama aende kumuona Hospitalini nikiwa London lakini Hamisa akatuma watu wamrekodi alivyofika, sasa kwanini

Diamond Platnumz Kuhusu Zar Kujua, >Nilisha mwambia Zari mapema na tukaongea na yakaisha hana noma na huyu Mtoto wa Hamisa,tulizungumza tu vizuri, ingawa sio kila jambo nilimwambia, sio kuhusu kutuma pesa na iisue kama hizo,

Kuhusu Kumtelekeza mtoto>Hamisa alitengeneza nionekane kama nimemtelekeza mtoto wakati natoa hela kila siku na nilishaenda kumuona mwanangu na nikalala kabisa mpaka asubuhi, ila siku ingine nilijua wananitegeshea Shilawadu nikagoma kwenda.

Diamond kuhusu kutakanwa kwa Zari>Kilichoniuma sana ni kuwa Zari hausiki na chochote na huyu mtoto lakini Hamisa alitengeneza mazingira atukanwe

Kuhusu mwanamke mwingine mwenye mtoto wake>Kama kuna Mwanamke mwingine ana mtoto wangu asiogope kumleta Madale atalelewa tu, sina tatizo kabisa, Aje ila asiPost tu

Diamond kuhusu pesa alizompa Hamisa>Wakati anajifungua nilimpa Hamisa USD 3500 na Mpaka mtoto anazaliwa nilikua nampa Hamisa 70000 kila siku, nikamnunulia na Rav 4 ila sikupenda anavyotangaza

Diamond Platnumz kuhusu mahusiano na Hamisa>Niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mobetto mwaka 2010 lakini hatukudumu.


Kupitia SnapChat yake haya ni Maneno ya Zari The Boss Lady kuhusu Issue za Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto baada ya kusikiliza Interview aliyofanyiwa leo na kituo cha CloudsFm.

Kwenye Interview, Diamond alikiri kuwa Zari alikuwa anajua kuwa Hamisa ana ujauzito wake na kwamba walishaongea ingawa kuna mambo mengine hakumuambia Zar

Post Za Zari Zilisema…..

#ZariSnapChat >Kuwa Mama wa watoto wako ndio sababu ya Kukaa Kimya Ila USINIJARIBU,Google kuhusu KOSA la Kuchafua jina la Mtu,

#ZariSnapChat>Uongo unaosema kuhusu Mchepuko wako,Jaribu kumaliza matatizo yako achana na uongo,Ukimya wangu haimaanishi mimi ni Mjinga….

#ZariSnapChat >Sita jishughulisha na jambo hili tena, Nina heshima yangu ya kutunza kwenye Corporate World, Hii ndio iko hatarini, Enjoy Siku Yako.

Kupitia Mtandao wake wa Instagram kama alivyosema kwenye Interview yake ya Clouds Fm Leo Tena Diamond Platnumz amepost Picha ya Mtoto wake kwa mara ya kwanza aliyezaaa na Mrembo Hamisa Mobetto.

BREAKING : Picha ya Inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa kitandani yasambaa mtandaoni,Jina jipya la mtoto wa Hamisa….


Miongoni mwa stori kubwa katika burudani na udaku Tz ni Picha inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wakiwa kitandani imesambaa mtandaoni saa chache baada ya kuisha kwa 40 ya mtoto wa kiume wa Hamisa anayetajwa kuwa ni mtoto wa Diamond.

Ikiwa ilitegemewa Hamisa atamuonyesha mtoto wake 17 September 2017, staa huyu hajafanya hivyo pakiwa na tetesi kuwa Diamond amekataa jambo hilo kufanyika mpaka aweke mambo sawa,

JE Ni Mambo Gani Hayo ?


Jambo lingine ambalo limekuwa gumzo mtandaoni nikubadilika kwa jina la mtoto huyu , Tetesi zinasema Prince Abdul Naseeb kwa sasa anaitwa Prince Abdul Latif,

MABAO MANNE YAMETOSHA KUMKARIBISHA WAYNE ROONEY TRAFFORD HUKU CHELSEA NA ARSENAL WAKITOKA SULULU.

Arsenal wamefanikiwa kuwabana Chelsea kwa kuwalazimisha suluhu ya bila kufungana nyumbani kwao Stamford Bridge katika mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana katika liginya Epl msimu huu.

Mchezo huu ulikuwa wa kwanza kwa Chelsea kutofunga bao Stamford Bridge wakiwa na Conte katika michezo 22 iliyopita. Hata hivyo vijana wa Antonio Conte walilazimika kumaliza mchezo huo wakiwa pungufu baada ya David Luiz kupewa kadi yake nyekundu ya kwanza akiwa na Chelsea.


Lakini baadae kulikuwa na mchezo kati ya Manchester United na Everton ambapo Antonio Valencia aliifungia United bao la kwanza ambalo hili lilikuwa bao lake la kwanza tangu alipoifungia United mwaka 2014.

Lakini goli la Valencia lilianza kuwaaminisha United kumaliza mchezo huo na ushindi kwani United hawajawahi kupoteza mchezo ambao Valencia alifunga.
Henrikh Mkhitaryan aliifungia Manchester United bao la pili dakika ya 82, wakati Everton wakiwaza kusawazisha Romelu Lukaku alifunga bao la 3 dakika ya 89 kabla ya Anthony Martial aliyetokea benchi kufunga la 4 dakika ya 90 kwa njia ya penati.

Msimamo wa EPL mpk Leo hii 

Real Madrid imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 ungenini dhidi ya Real sociedad nakupanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu ya hispania,ambapo Barcelona wanaongoza wakiwa kileleni kwa tofauti ya pointi 4.
Msimamo wa Laliga mpaka Leo hii : 

Picha: Nyumba ya Mbunge wa Kigoma, Zitto Kabwe yaungua moto.

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe aliyoijenga wakati akigombea ubunge kwa mara ya kwanza iliyopo Kibingo, Kata ya Mwandiga mjini Kigoma imeungua moto jioni hii

 Nyumba  hiyo iko kiwanja kimoja na nyumba yake ya sasa imeteketea yote na chanzo chake hakijafahamika hadi sasa.

Msaidizi wa mbunge huyo, Nyembo Mustafa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hata hivyo Zitto hakuwa anaishi kwenye nyumba hiyo.

Amesema Zitto alihama kwenye nyumba hiyo baada ya kujenga nyumba nyingine kubwa kwenye kiwanja hicho hicho na iliyoungua ilikuwa ikitumika kwa dharura.

EXCLUSIVE : Picha,Matusi ya Zari The Boss Lady kwenye picha ya Diamond Platnumz.

Drama kati ya  Zari The Boss Lady na baba watoto wake Diamond Platnumz inaendelea na usiku wa kuamkia 9/15/2017 Baby Mama huyu ameshindwa kuvumilia na kuweka matusi kwenye picha ya Baby daddy wake.

Kama umepitwa, naomba nikufahamishe kuwa hivi karibuni palikuwa na stori ya kimbea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Diamond alikutana na mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews huko Zanzibar na kwamba walikuwa pamoja na kula bata.

Taarifa hizi zilimfikia Zari ila mpaka leo hakutoa POVU lolote mpaka ilipowekwa picha ya Diamond akiogelea, Picha hii iliwekwa na mpiga picha wa Diamond ‘Kifesi’ HAPO Chini unaona Alama ya KIDOLE CHA KATI Kutoka kwenye Account Ya Zari.

Zari aliendelea kutoa kauli tofauti kwenye SnapChat yake kuhusu kugombana na mwanaume badala ya kutafuta pesa.




MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBER 15 2017 TANZANIA.

Nimekusogezea Kurasa za Magazeti Ya Leo Tanzania Ijumaa September 15 vichwa vya Habari vya Siasa Jamii na Michezo.

Audio | Lady Jay Dee – I Miss You | Mp3 Download


Audio | Lady Jay Dee – I Miss You | Mp3 Download

<<<<< DOWNLOAD HAPA >>>>>