EXCLUSIVE : Picha,Matusi ya Zari The Boss Lady kwenye picha ya Diamond Platnumz. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

EXCLUSIVE : Picha,Matusi ya Zari The Boss Lady kwenye picha ya Diamond Platnumz.

Drama kati ya  Zari The Boss Lady na baba watoto wake Diamond Platnumz inaendelea na usiku wa kuamkia 9/15/2017 Baby Mama huyu ameshindwa kuvumilia na kuweka matusi kwenye picha ya Baby daddy wake.

Kama umepitwa, naomba nikufahamishe kuwa hivi karibuni palikuwa na stori ya kimbea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Diamond alikutana na mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews huko Zanzibar na kwamba walikuwa pamoja na kula bata.

Taarifa hizi zilimfikia Zari ila mpaka leo hakutoa POVU lolote mpaka ilipowekwa picha ya Diamond akiogelea, Picha hii iliwekwa na mpiga picha wa Diamond ‘Kifesi’ HAPO Chini unaona Alama ya KIDOLE CHA KATI Kutoka kwenye Account Ya Zari.

Zari aliendelea kutoa kauli tofauti kwenye SnapChat yake kuhusu kugombana na mwanaume badala ya kutafuta pesa.




SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More