FULL STORY : Mambo 8 aliyosema Diamond Platnumz kuhusu Mahusiano yake na Hamisa Mobetto, Mtoto wao na kama Zari anajua. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

FULL STORY : Mambo 8 aliyosema Diamond Platnumz kuhusu Mahusiano yake na Hamisa Mobetto, Mtoto wao na kama Zari anajua.

Kwenye mahojiano na kituo cha Radio cha Clouds Fm #LeoTena Leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi mambo yote kati yake na Hamisa, Mtoto wao , Mahusiano yake na Zari na anachofanya kulea mtoto vizuri.



Kuhusu Hamisa kuvujisha Clip zao Pamoja>Hamisa kuvujisha Clip akidhani nitaachana na Zari, hio HAITOTOKEA, Nitapiga hata magoti na kutembea mpaka South, Kuna Clip zingine Hamisa alinirekodi bila kujijua,labda alikua ana malengo yake mwenyewe

Kuhusu Hamisa Kujifungua >Nilimuomba Mama aende kumuona Hospitalini nikiwa London lakini Hamisa akatuma watu wamrekodi alivyofika, sasa kwanini

Diamond Platnumz Kuhusu Zar Kujua, >Nilisha mwambia Zari mapema na tukaongea na yakaisha hana noma na huyu Mtoto wa Hamisa,tulizungumza tu vizuri, ingawa sio kila jambo nilimwambia, sio kuhusu kutuma pesa na iisue kama hizo,

Kuhusu Kumtelekeza mtoto>Hamisa alitengeneza nionekane kama nimemtelekeza mtoto wakati natoa hela kila siku na nilishaenda kumuona mwanangu na nikalala kabisa mpaka asubuhi, ila siku ingine nilijua wananitegeshea Shilawadu nikagoma kwenda.

Diamond kuhusu kutakanwa kwa Zari>Kilichoniuma sana ni kuwa Zari hausiki na chochote na huyu mtoto lakini Hamisa alitengeneza mazingira atukanwe

Kuhusu mwanamke mwingine mwenye mtoto wake>Kama kuna Mwanamke mwingine ana mtoto wangu asiogope kumleta Madale atalelewa tu, sina tatizo kabisa, Aje ila asiPost tu

Diamond kuhusu pesa alizompa Hamisa>Wakati anajifungua nilimpa Hamisa USD 3500 na Mpaka mtoto anazaliwa nilikua nampa Hamisa 70000 kila siku, nikamnunulia na Rav 4 ila sikupenda anavyotangaza

Diamond Platnumz kuhusu mahusiano na Hamisa>Niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mobetto mwaka 2010 lakini hatukudumu.


Kupitia SnapChat yake haya ni Maneno ya Zari The Boss Lady kuhusu Issue za Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto baada ya kusikiliza Interview aliyofanyiwa leo na kituo cha CloudsFm.

Kwenye Interview, Diamond alikiri kuwa Zari alikuwa anajua kuwa Hamisa ana ujauzito wake na kwamba walishaongea ingawa kuna mambo mengine hakumuambia Zar

Post Za Zari Zilisema…..

#ZariSnapChat >Kuwa Mama wa watoto wako ndio sababu ya Kukaa Kimya Ila USINIJARIBU,Google kuhusu KOSA la Kuchafua jina la Mtu,

#ZariSnapChat>Uongo unaosema kuhusu Mchepuko wako,Jaribu kumaliza matatizo yako achana na uongo,Ukimya wangu haimaanishi mimi ni Mjinga….

#ZariSnapChat >Sita jishughulisha na jambo hili tena, Nina heshima yangu ya kutunza kwenye Corporate World, Hii ndio iko hatarini, Enjoy Siku Yako.

Kupitia Mtandao wake wa Instagram kama alivyosema kwenye Interview yake ya Clouds Fm Leo Tena Diamond Platnumz amepost Picha ya Mtoto wake kwa mara ya kwanza aliyezaaa na Mrembo Hamisa Mobetto.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More