MABAO MANNE YAMETOSHA KUMKARIBISHA WAYNE ROONEY TRAFFORD HUKU CHELSEA NA ARSENAL WAKITOKA SULULU. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

MABAO MANNE YAMETOSHA KUMKARIBISHA WAYNE ROONEY TRAFFORD HUKU CHELSEA NA ARSENAL WAKITOKA SULULU.

Arsenal wamefanikiwa kuwabana Chelsea kwa kuwalazimisha suluhu ya bila kufungana nyumbani kwao Stamford Bridge katika mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana katika liginya Epl msimu huu.

Mchezo huu ulikuwa wa kwanza kwa Chelsea kutofunga bao Stamford Bridge wakiwa na Conte katika michezo 22 iliyopita. Hata hivyo vijana wa Antonio Conte walilazimika kumaliza mchezo huo wakiwa pungufu baada ya David Luiz kupewa kadi yake nyekundu ya kwanza akiwa na Chelsea.


Lakini baadae kulikuwa na mchezo kati ya Manchester United na Everton ambapo Antonio Valencia aliifungia United bao la kwanza ambalo hili lilikuwa bao lake la kwanza tangu alipoifungia United mwaka 2014.

Lakini goli la Valencia lilianza kuwaaminisha United kumaliza mchezo huo na ushindi kwani United hawajawahi kupoteza mchezo ambao Valencia alifunga.
Henrikh Mkhitaryan aliifungia Manchester United bao la pili dakika ya 82, wakati Everton wakiwaza kusawazisha Romelu Lukaku alifunga bao la 3 dakika ya 89 kabla ya Anthony Martial aliyetokea benchi kufunga la 4 dakika ya 90 kwa njia ya penati.

Msimamo wa EPL mpk Leo hii 

Real Madrid imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 ungenini dhidi ya Real sociedad nakupanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu ya hispania,ambapo Barcelona wanaongoza wakiwa kileleni kwa tofauti ya pointi 4.
Msimamo wa Laliga mpaka Leo hii : 
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More