Katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF, ifuatayo ni orodha kamili ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma.Hawa ni wale waliojitokeza na kuchukua fomu katika ofisi za TFF siku ya Ijumaa mpaka Leo Jumatatu katika makao makuu ya chama hicho, Karume jijini Dar es Salaam.
Ally Mayai Tembele amechukua fomu ya kuwania Urais wa TFF Leo Jumatatu akiwa na Mtemi Ramadhani ambaye yeye amechukua Fomu ya Kuwania Makamu wa Rais wa TFF wakiwa wameongozana na Kocha Julio na mabango yaliyoandikwa " Turudishieni Moira Wetu".Ifuatayo ni Orodha ya Wote waliochukua Fomu za Uongozi TFF:
URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa
Athumani Nyamlani
Fredrick Mwakalebela
Ally Mayai Tembele
MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange
Mtemi Ramadhani
WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI
Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul
Abdalah Mussa
Peter Stevin
Said Tulliy
Ally Mussa
Mussa Kisoki
Lameck Nyambaya
Omar Ali
Shirikisho hilo hii leo linatarajia kutoa orodha itakayo hainisha wagombea waliojitokeza kila kanda katika kanda 13 kama zilizogawanywa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.