CHID BENZ KURUDI UPYA NA NGOMA YA "MUDA" AKIWA NA Q_ CHIEF. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

CHID BENZ KURUDI UPYA NA NGOMA YA "MUDA" AKIWA NA Q_ CHIEF.

Baada ya kujikomboa kutoka katika matumizi ya dawa za kulevya rapa Chidi Benz amejipanga upya ambapo wiki ijayo ataachia wimbo wake uitwao Muda akiwa amemshirikisha muimbaji Q Chief.

Uongozi mpya wa rapa huyo umesema kuwa kazi hiyo mpya ya rapa huyo imeandaliwa ndani ya studio za Kill Record chini ya producer Mbezi. “Wiki ijayo Chidi Benz anarudi upya kwenye game, ngoma ni kali sana bila shaka mashabiki walikuwa wanamsubiria Chidi yule wazamani,” alisema Meneja huyo.

Mimi binafsi nje ya umeneja Chidi ni msanii ambaye namkubali sana toka kitambo, nilivyosikiliza hii kazi yake mpya akiwa amemshirikisha Q Chief  nimeona kabisa hapa kuna kitu kipya,” Aliongeza, “Unajua ngoma nyingi za Chidi ambazo amekuwa akizitoa hivi karibuni sio level zake, lakini alivyonisikilizisha huu wimbo nimeona kuna kitu cha ziada kipo.

Kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula kuna jiwe linakuja,” Meneja huyo amesema muda si mrefu wataanza kutangaza mfumo mzima wa uongozi wa rapa huyo.


Rapa Chid Benz
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More