MAHAKAMA KUU UGANDA YAAMULU KABURI LA IVAN SEMWAGA LIFUKULIWE. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

MAHAKAMA KUU UGANDA YAAMULU KABURI LA IVAN SEMWAGA LIFUKULIWE.

Mahakama Kuu ya Uganda imeiagiza Benki Kuu ya Uganda kwa kushirikiana na kampuni ya kuandaa mazishi ya  A Plus Funeral Management Company Limited iliyonadaa mazishi ya Ivan Semwanga kulifukua kaburi hilo ili fedha zilizowekwa ndani ya kaburi ziweze kutolewa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo leo Juni 2, fedha zote ambazo ni pamoja na Shilingi ya Uganda, Rand ya Afrika Kusini na Dola ya Marekani na fedha za nchi nyingine yeyote, zitolewa katika kaburi la marehemu Ivan Semwanga aliyezikwa Jumanne Mei 30, 2017.

Aidha, mahakama hiyo imeamuru kuwa mlalamikaji Mgugu Abey aruhusiwe kuzichukua fedha hizo kwa niaba ya Jamhuri ya Uganda na nchini nyingine ambazo fedha zake zilifukiwa.
Hapa chini ni taarifa kutoka kwenye mahakama hiyo;

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More