HABARI KATIKA PICHA : MWANUME ANAYEKUNYWA MKOJO WAKE KUPUNGUZA UZITO. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

HABARI KATIKA PICHA : MWANUME ANAYEKUNYWA MKOJO WAKE KUPUNGUZA UZITO.

Huko nchini Uingereza, jamaa aliyefahamika kwa jina la Dave Murphy, hunywa glasi moja ya mkojo wake kila siku asubuhi na anausifu kwa kumwezesha kupunguza uzito kutoka kilo 127 hadi kilo 76.

Kwa kipindi cha miaka sita  Murphy
amekuwa akinywa mkojo wake, anaosema unahusika si tu kupunguza unene bali pia kumletea muonekano wa ujana.

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More