Mzee Yussuf akiwa amebeba mwili wa mtoto wake mchanga aliyefariki pamoja na mama yake mzazi usiku wa kumkia leo, kabla ya kuzikwa makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
HABARI KATIKA PICHA : ALHAJI MZEE YUSSUF AKIWA NA MTOTO MCHANGA ALIYEFARIKI.
Published Under
HABARI
About Author
ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More