Mtoto Dihan Awaidan mwenye umri wa miaka 7 ambaye anavuta sigara 16 kwa siku amekuwa gumzo xana.
Imeelezwa hapo amejitahidi xana kupunguza kuvuta Sigara akiwa na Umri wa miaka 3 alikuwa anavuta sigara zaidi ya 60 kwa siku.
Baba wa mtoto huyo anaxema mwanae alianza kuvuta sigara tangu akiwa na umri wa miaka 3 na jitihada zote za kumuachisha zimeshindikana mpaka sasa.