Amuua Mkewe Kwa Visu Na Kumnyonga Mtoto Baada Ya Kuambiwa Ana Mchepuko Ndani Ya Ndoa. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Amuua Mkewe Kwa Visu Na Kumnyonga Mtoto Baada Ya Kuambiwa Ana Mchepuko Ndani Ya Ndoa.

Mkazi wa Bukene wilayani Nzega mkoani Tabora amemuua mkewe pamoja na mtoto wake.Mkazi huyo Rashid Nassoro baada ya kuwaua watu wake hao wa karibu alikimbia na baadaye kujiua kwa kujichoma kisu tumboni na kujaribu kukata sehemu zake za siri.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Khamis Selemani amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea juzi eneo la Bukeni wilayani hapa baada ya Rashid Nassoro 22 kumuua mkewe kwa kumchoma visu tumboni.Alisema "baada ya kumuua mke wake Rashid alimnyonga mtoto wake wa miezi minne na kukimbia".

Kamanda Selemani alisema "baada ya kukimbia Rashid aliamua kujiua na kukata sehemu zake za siri".Kamanda Selemani alisema chanzo cha tukio hilo ni mwanamke kumtuhumu mume wake kuwa ana uhusiano na mwanamke mwingine jambo lililomchukiza mwanaume huyo na kuamua kuchukua maamuzi hayo.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More