Wayne Rooney amebakisha goli moja tu kuvunja rekodi ya Ufungaji magoli mengi katika klabu ya Manchester United.Juzi alifikisha idadi ya magoli 249 sawa na mkongwe Sir Bobby Charlton.
Mgawanyiko wa namna alivyofunga magoli haya ni kama ifuatavyo : kichwa 30 mguu wa kushoto 27 na mguu wa kulia 192.