Tottenham Yaipunguza Kasi Chelsea Yaichapa 2_0. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Tottenham Yaipunguza Kasi Chelsea Yaichapa 2_0.

Klabu ya Tottenham imefutilia mbali ndoto ya Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kushinda michezo 14 baada ya vinara hao kufungwa bao 2_0 ndani ya Uwanja wa White Hart Lane.


Spurs wamesogea mpaka nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi baada ya mchezaji wake Dele Alli kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa ikiwa ni mwishoni mwa kipindi cha kwanza na dakika 54.Dele Alli alifunga vyema kwa kupokea Pasi safi kutoka kwa Christian Eriksen kwa magoli yote mawili.


Eden hazard alikosa nafasi 2 za kuiokoa Chelsea lakini Spurs waliweza kufanikiwa na kuweza kupata Pointi 3 muhimu na kuwaondoa majirani zao Arsenal katika nafasi ya nne.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More