Andy Murray ashinda Fainal za Dunia za kombe la ATP dhidi ya Novak Djokovic | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Andy Murray ashinda Fainal za Dunia za kombe la ATP dhidi ya Novak Djokovic

Mcheza Tenis wa Uingereza Andy Murray amemshinda mchezaji mwenzake Novak Djokovic na kufanikiwa kushinda tuzo ya kwanza ya fainal za dunia za ATP 2016 akiwa kama mchezaji namba moja duniani.

Muray ameshinda fainal hizo kwa seti 6_3 na 6_4 katika uwanja wa 02 Arena mjini London.Murray mwenye miaka 29 amekuwa mchezaji bora katika mashindano 24.Murray aliyeshinda vikombe 34 kwa Mara kumi amesema "Ninayo furaha kubwa sana kuwa mshindi na kuwa namba moja Duniani ni kitu cha pekee sana alisema Murray.Nina furaha kabla ya hapa tumekuwa tukichuana katika fainal mbalimbali na katika Olimpiki lakini ninayo furaha kubwa kuwa Mshindi alisema Murray.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More