Mourinho kumleta Willian ndani ya Manchester United | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Mourinho kumleta Willian ndani ya Manchester United

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ana mpango wa kumleta Willian ndani ya Old Traford.Nyota huyo raia wa Brazil na klabu ya Chelsea ni shabiki mkubwa wa kocha Jose Mourinho kutokana na performance aliyoonesha wakati yupo naye Chelsea.Sasa hivi ameonekana kutofanya vizuri chini ya kocha wake Conte kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa Chelsea kumemfanya mchezaji huyo asioneshe makali yake.

Ripoti kutoka kwenye vyombo vya habari vya England ni kwamba ikifika January Manager wa Manchester United anatarajia kumleta mchezaji huyo ndani
ya kikosi chake.Willian ambaye msimu uliopita alikuwa anafunga magoli lakini
imekuwa tofauti kwa msimu huu.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More