OMMY DIMPOZ AFUNGUKA YAKE BAADA YA DIAMOND KUONGEA YAKE JANA. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA YAKE BAADA YA DIAMOND KUONGEA YAKE JANA.

Sakata linaloendelea kati ya wanamuziki wawili wa bongo Flava Diamond Platnumz na Ommy
Dimpoz limezidi kuwa kubwa baada ya diamond kufunguka jana kwenye Interview na kusema jitihada zilizofanywa na ommy kumaliza bifu na yeye na kusema "kashatuma watu wengi sana kashamtuma Salaam,alishanipigia mpaka na simu nikashindwa kupokea nitaonge naye nini".Alisema diamond mipaka ilivuka halafu mimi ni muislam mimi sina tatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa hata ukiniangalia mimi sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu alimalizia Diamond Jana.

Ommy Dimpoz naye alitweet na kukanusha kuwa alichosema diamond na kuandika "Aisee salaam kila siku unavyonibembeleza tuyamalize kumbe nakutuma kweli nyie ni profeshenoo"alimaliza ommy kwenye tweet yake naye Salaam meneja wake Diamond naye aljjibu "sijakuomba mie kumbuka aliyekwambia nani na mie nijibu nini"hata wakati ulipokuja kuomba yaishe na mie kumbuka nani alikuleta alimalizia salaam kwenye tweet yake.

Sasa Leo Ommy Dimpoz ameongea kwenye Interview na kusema sababu zilizopelekea ugomvi wake yeye na swahiba wake wa zamani Diamond na kusema sakata lilianza wakati mameneja wake Diamond walipomwambia asimpeleke ommy kwa waganga wake Diamond kwa sababu atamzidi kiwango na atakuwa juu kumpita diamond .Suala jingine ommy ameongea kuhusu suala la tuzo za Afrimma Marekani ambaye ommy alimuomba waende wote akamtambulishe kwa wasanii wengine wa Afrika kwenye tuzo hizo.Ishu nyingine ni sakata la Davido kuja Tanzania kwenye fiesta na Ommy alitaka collabo na davido akaambiwa alipe dola 3000 lakini Diamond akalipa dola 5000.Sababu kubwa ni video ya Wanjera ambaye wema sepetu alikuwa video Quenn kwenye hiyo video ambayo Diamond alimaindi kwa nini kashoot video na Wema.Alipoulizwa kuhusu suala la Kupumuliwa Ommy alisema "pale mtu anapotaka kukukutana hakuchagulii tusi sometime unapotoa kauli huwezi kujua itamwathiri MTU kwa kiasi gani kwa sababu kuna mtu ataichukia ile kauli kiushabiki,utakuta mwengine anakuita shoga lakini as long Mimi ninajijua mzima hainiathiri kwanza hakuna tusi jipya,Imeanza kutukanwa Mimba alimalizia Ommy Dimpoz.Kumekuwa na kutupiana Maneno na vijembe Kati ya Ommy Dimpoz na Diamond Platnum.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More