Wakali wawili wa bongo Flava Ommy Dimpoz na Diamond wamerushiana vijembe baada ya Rich mavoko na diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya KOKORO tuhuma za meneja kuzima Mic wakati Alikiba anatumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Festival.Baada ya maneno hayo Ommy Dimpoz amejibu kwa kuandika "Wazee wa kupanik mbona kama povu linawatoka,#team mziki mzuri vs team ujanja ujanja #kajiandae # kabali yao #we don't buy views you tube nilijua tunafanya mziki kumbe vitaaa #pia nawajua kwa mitusi lakini nishajiandaa #nawaachia uwanja mweupe wala sibloku mtu #nachangamsha baraza kwenye post hiyo Ommy ametupa shutuma kwa diamond kuwa hununua views you tube na hufanya mziki wa hujanja hujanja.
KIMENUKA Instagram Diamond na Ommy Dimpoz Warushiana Vijembe vya aibu Instagram
Mwanaume mwenzio kisa kukataa
KUKUPUMULIA nayo ni KOKORO"kupumuliwa ni msemo wa
Mtaani unaomaanisha mwanaume
Kuingiliwa kinyume na Maumbile".Kwa takribani miaka ya hivi karibuni kumekuwepo kutoelewana kati ya hawa maswahiba wawili wa zamani Diamond na Ommy dimpoz.
About Author
ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More