ALIKIBA GABO ZIGAMBA WANG'ARA TUZO ZA EATV LADY JAYDEE AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

ALIKIBA GABO ZIGAMBA WANG'ARA TUZO ZA EATV LADY JAYDEE AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA.

Ucku wa tarehe 10 Jumamosi kulifanyika tuzo za EATV AWARDS kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam ukihusisha tuzo zaidi ya 10 zikitolewa katika vipengele tofauti.
Tuzo hizo zilitolewa kwa Mara ya kwanza tangu zianzishwe kwa wasanii wa Bongo Flava na waigizaji wa Bongo Movie.Mgeni rasmi kwenye tuzo hizo alikuwa waziri wa Habari Mh Nape Nnauye na Host wa tuzo hizo alikuwa mkali wa hizi kazi Salama Jabir kutoka Eatv.


Msanii Ali kiba alichukua tuzo 3 huku mwigizaji wa Bongo movie Salim Ahmed
Maarufu kama Gabo akichukua tuzo 2.
Kivutio kikubwa kwenye tuzo ni kutambulishwa kwa mpenzi mpya wa Mwimbaji Lady Jaydee ambaye alipanda naye kuchukua tuzo ya msanii bora wa kike.Baada ya shukrani kwa mashabiki na kutaka kuondoka lady jaydee alirudi jukwaani na kusema "nilitaka kusahau huyu ni baby wangu"kauli ambayo iliibua shangwe kwa mashabiki. Nimekusogezea hapa majina ya Washindi na Vipengele walivyoshinda :

Msanii bora wa kiume 2016 : Ali kiba 
Video bora ya mwaka 2016 : Aje Ali kiba
Wimbo bora wa mwaka 2016 : Aje 


Mwanamuziki bora chipukizi 2016 : Man Fongo

Filamu bora ya mwaka 2016 : Safari ya Gwalu
Mwigizaji bora wa kiume 2016 : Salim Ahmed Gabo zigamba

Tuzo bora ya Heshima : Dj bonny luv

Mwigizaji bora wa kike 2016 : Chuchu Hans

Kundi Bora la mwaka 2016 : Navy Kenzo

Mwanamuziki bora wa kike 2016 : Lady Jaydee 
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More