BREAKING:BABA MZAZI WA MWANAMUZIKI DOGO JANJA AFARIKI DUNIA. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

BREAKING:BABA MZAZI WA MWANAMUZIKI DOGO JANJA AFARIKI DUNIA.

Mwanamuziki Dogo Janja kutoka kundi la Tip Top Connect amefiwa na baba yake mzazi mzee Abubakari Chende.Dogo Janja kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Pumzika kwa amani baba yangu kipenzi hakika mungu amefanya maamuzi yake siwezi kukufuru zaidi ya kukuombea kwa Allah akupe kauli Thabeet umelala baba yangu sitakuona tena EEH MWENYEZI MUNGU UMPOKEE UMUONDOLEE ADHABU ZA KABURI.Lala baba hakika wote njia yetu ni moja siku moja tutaonana tena baba R.I.P Kamanda ABUBAKARI CHENDE.
Mara nyingi Dogo Janja amekuwa akisikika akieleza jinsi baba yake alivyokuwa akimuunga mkono kwenye kazi yake ya muziki anayoifanya.

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More