Humprey Polepole ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM kuchukua nafasi ya Nape Nnauye. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Humprey Polepole ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM kuchukua nafasi ya Nape Nnauye.

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole ameteuliwa na halmashauri kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi kuwa katibu wa Halmashauri kuu Itikadi na Uenezi kuchukua nafasi ya Nape Nnauye.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chama hicho kupitia ukurasa wake wa Twitter zinaeleza kuwa Halmashauri kuu kimemteua Polepole kushika wadhifa huo.Kikao cha Halmashauri kuu ya Taifa 
CCM kimefanyika Leo ambapo miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa ni pamoja
na Tathimini ya Uchaguzi mkuu mwaka 2015.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More