Picha Kijiji Ambacho Kama Huna Boti Huwezi Kwenda Hata Dukani. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Picha Kijiji Ambacho Kama Huna Boti Huwezi Kwenda Hata Dukani.

Nadhani tumezoea Usafiri wa Mabasi au Magari tukiwa ndani ya Miji ili kwenda Sehemu tofauti.Nimekusogezea hii ya Kijiji cha Giethoorn Nchini Netherland ambapo Barabara zao ni maji na boti zinatumika kama Usafiri kuzunguka kijijini hapo.

Giethoorn ina wakazi 2600 na Madaraja yapo 180 ambayo ndio kama vituo watu wanaposhuka na Kuingia Majumbani mwao na pia kutembeleana kwenda Sokoni na sehemu zote zinazotumika kwa ajili ya Maisha ya Kila siku.

Nimekusogezea Picha za Kijiji hicho Ujionee Mazingira yake na Jinsi Madaraja hayo yalivyotengenezwa kwa kila kituo :
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More