PICHA : WCB WAZIKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA MUZIKI IRINGA. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

PICHA : WCB WAZIKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA MUZIKI IRINGA.

Baada ya Disemba 24 kuangusha Show kubwa fukwe za Jangwani Sea Breaze jijini Dar es salaam timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kusherekea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival.



Wakiongozwa na Boss wao Diamond Platnumz SIMBA waliangusha bonge la show na kujaza Nyomi uwanjani hapo.
Wasanii wengine kutoka WCB walioangusha show hiyo ni Rich Mavoko,
Harmonize, Raymond na Queen Darleen.
Msanii kutoka Nigeria KCEE naye alikuwepo Pamoja na Chegge kutoka Tmk Wanaume Family. Hizi hapa nimekusogezea Picha za Show hiyo :
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More