Breaking : Rais Magufuli amteua Prof Yunus D Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa wa Binadamu (NIMR). | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking : Rais Magufuli amteua Prof Yunus D Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa wa Binadamu (NIMR).

Baada ya Jana kutoka Taarifa ya kutenguliwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt Mwele Malecela kutokanana na vyombo vya Habari kadhaa nchini na nje ya Nchi kumnukuu akitangaza matokeo ya utafiti yaliyobaini kuhusu kugundulika kwa Ugonjwa wa Zika nchini Tanzania.


Hata hivyo Jana hiyo hiyo Waziri wa Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alikanusha taarifa za kuwepo kwa virusi vya Ugonjwa wa Zika.Leo tarehe 17 kumetolewa taarifa kutoka Ikulu ya Dar es salaam kuwa 

Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua Prof Yunus D Mgaya kuwa Mkurugenzi mpya kuwa Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya binadamu (NIMR).






Mkurugenzi mkuu mpya wa NIMR Prof. Yunus  D. Mgaya

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More