Picha 20 bora kati ya Picha Milioni 2 alizopigwa Obama akiwa Madarakani. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Picha 20 bora kati ya Picha Milioni 2 alizopigwa Obama akiwa Madarakani.

Kuwa Mpiga Picha rasmi wa Rais wa Marekani sio jambo dogo licha ya kuwa utapata Fursa ya kwenda na Rais nchi tofauti.Inakadiriwa kuwa muda wote ambao Rais Barack Obama amekaa madarakani akielekea kumaliza mwaka wake wa 8 ndani ya White House amepigwa Picha Milioni 2.

Picha hizi za Matukio mbalimbali kwenye Masuala ya kijamii, kisiasa na Kiuchumi alikohudhuria akiwa kama Rais wa Marekani.Miongoni mwa Picha hizo kuna ambazo ni za kuvutia sana zilizopigwa kwa wakati Madhubuti.

Hapa chini ni Picha 20 bora za Rais Obama katika miaka yake nane 8 ya Urais wa Marekani.

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More