News Alert : Picha Msanii Darasa Apata Ajali Kahama. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

News Alert : Picha Msanii Darasa Apata Ajali Kahama.

Mwanamuziki Darasa na wenzake wamenusurika kifo baada ya kupata Ajali mbaya Kahama akiwa na wenzake wakiwa njiani wakirejea Dar es salaam Maeneo ya Ntobo barabara ya kuelekea Mgodi wa Bullyanhulu wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga.


Habari zimeeleza kuwa ndani ya Gari hilo
aina ya Toyota Harrier yenye namba za Usajili T 503 DGQ ambalo dereva hakufahamika mapema Darassa alikuwa
ameambatana na Director Hanscana na Producer Abba Process na wote wametoka salama.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Darassa amethibitisha kupata ajali hiyo na kama aonekanavyo kwenye Video Clip ya tukio la Ajali hiyo akimshukuru Mungu kwa kutoka Salama yeye Pamoja na wenzake.Nimekusogezea baadhi ya Picha za Ajali hiyo :
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More