Calisah Afunguka......Adai Wema Sepetu ni Msichana Mwelewa na ana Mapenzi ya Kweli. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Calisah Afunguka......Adai Wema Sepetu ni Msichana Mwelewa na ana Mapenzi ya Kweli.

Mwanamitindo aliyepata jina mwaka huu kutokana na Uhusiano wa muda Mfupi na Wema Sepetu, Calisah amemwelezea Muigizaji na Miss huyo wa zamani kuwa ni Msichana mzuri na mwenye mapenzi ya Kweli.


"Wema Sepetu ni msichana mzuri, ana upendo ni mwelewa, ana mapenzi ya kweli sijaona kasoro kubwa ambayo anayo tofauti na Wasichana wengine amesema Calisah".

Pia ana msichana anayejua kucare ana real love pia ana mapungufu yake lakini mazuri ni mengi amesisitiza Calisah.
Model huyo ameongeza kuwa kwa sasa yeye na Wema hawazungumzi tena baada ya wiki kadhaa zilizopita kusambaa mtandaoni Video inayowaonesha wakibusiana kwa mahaba mazito.

Kitu ambacho kilimkera Wema Sepetu na kuvunja Uhusiano wao.Hata hivyo Calisah amekiri kuwa Uhusiano wake na Wema umemuongezea Umaarufu zaidi na kumrahisishia kazi zake.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More