PICHA : UJAMBAZI FNB BANK DADA MREMBO ADAKWA KWA UJAMBAZI. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

PICHA : UJAMBAZI FNB BANK DADA MREMBO ADAKWA KWA UJAMBAZI.

Kumekuwa na taarifa zikiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuwa kumetokea Uvamizi kwenye benki ya FNB huku habari hizo zikihusisha mwanadada mmoja ambaye jina lake halijafahamika aliyekuwa mfanyakazi wa Benki hiyo kuhusika baada ya "kufukuzwa kazi kwenye Benki hiyo".


Binti huyo anaonekana Mrembo, mwenye haiba na busara lakini yamemshinda na kuamua kujirupua kwa kuvamia Benki hiyo.Taarifa zinasema Binti huyo aliamua kuingia kwenye Mtandao wa Majambazi uliotengenezwa 
Kwa kwenda kuiba kwenye Benki hiyo huku wakiwa wamevaa Mask usoni ili wasiweze kujulikana.

Mchoro wake uligonga Mwamba na hatimaye Polisi kuwadhibiti. Nimekusogezea Picha za Binti huyo baada ya kukamatwa na Polisi :
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More