Bradley Lowery ni shabiki wa kutupwa Klabu ya Sunderland ya Uingereza.
Bradley ana umri wa miaka 5 na tayari Madaktari bingwa wametoa Taarifa ya Kitabibu kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla ya Maradhi ya KANSA yanayomsumbua hayajakatiza Pumzi zake na kuupeleka Mwili wake Kaburini.
Akiwa tayari amefahamishwa kuhusu kifo chake hicho Bradley ameomba apewe zawadi ya kadi ya Krismasi kabla hajafariki kwani ndiyo pekee itakayomfanya apumzike kwa Amani.
Lakini Mtoto huyo anaweza kupona endapo zitapatikana Pesa kiasi cha Poundi £ 610,000 sawa na shilingi Bilioni
1,682,348,400 za Kitanzania. Pia watu wameanza kuhamasisha watu kushare Picha za Mtoto huyo.
Na kuweka hashtags ya #hopeforbradley
Na #bradleysfight ili watu waweze kuchangia hiyo Pesa kabla ya Miezi 2.
"God bless him and the Power of resurrection take many years of life of this Young Boy Bradley Lowery.