Mbunge Sugu anusurika kwenye Ajali Mtoto Afariki Kwenye Ajali. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Mbunge Sugu anusurika kwenye Ajali Mtoto Afariki Kwenye Ajali.

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi SUGU amenusurika kwenye ajali.Taarifa zilizoripotiwa na kituo cha Runinga cha ITV leo Disemba 17 zinasema kuwa Mbunge huyo amenusurika katika Ajali ya gari iliyotokea eneo la Iyunga Jijini Mbeya.


    Ajali hiyo imetokea baada ya gari lake kufeli Breki na kumgonga Mtoto mwenye umri wa miaka 15 ambaye amefariki dunia wakati akipelekwa Hospitali.

Aidha Taarifa hiyo inaeleza kuwa Askari Polisi 4 wamejeruhiwa baada ya kupata Ajali wakati wakielekea kwenye ajali hiyo aliyopata Mbunge Joseph Mbilinyi SUGU

Gari hilo la Mbunge huyo lilikuwa linaendeshwa na Dereva wake Gabriel Andrew 43 ambaye anashikiliwa  na Polisi.

SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More