Mwanamke mwenye kilo 500 kupelekwa India kufanyiwa Upasuaji. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Mwanamke mwenye kilo 500 kupelekwa India kufanyiwa Upasuaji.

Mwanamke mmoja raia wa Misri anayeaminiwa kuwa na uzito zaidi duniani akiwa na Kilo 500.Eman Ahmed Abd Aty mwenye umri wa miaka 36 atasafirishwa hivi karibuni kwenda India mjini Mumbai kwa ndege ya kukodishwa  kufanyiwa upasuaji wa kupunguza uzito wake.


Dk Muffazal Lakdawala anapanga kumfanyia upasuaji.Ubalozi wa India mjini Cairo ulikuwa umemnyima Visa kwa kuwa hakuweza kufika kwenye Ubalozi huo yeye mwenyewe binafsi.
Hata hivyo hali ilibadilika baada ya Daktari kutoka Mji wa Mumbai kuiandikia
Kwa mashauri ya kigeni ya India kupitia Mtandao wa Twitter.

Familia ya bi Abd El Aty inasema hajaondoka nyumbani kwa miaka 25.
Ikiwa madahi kuhusu uzito wake ni ukweli basi atakuwa mtu mzito zaidi duniani aliye hai kwa kuwa Pauline Potterraia ndiyo anashikia rekodi ya Guinness alikuwa na kilo 292 mwaka 2010.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More