Tuzo za Abryanz Style Fashion ASFA 2016 zimefanyika jana jijini Kampala Uganda na kufana huku Idris Sultan akishirikiana na Vimbai Mutinhir wakisherehesha tuzo hizo.
Haya hapa majina ya wa Tanzania walioshinda tuzo hizo na vipengele vyake :
Humanitarian Award : Millen Magese
Rising Model East Africa : Abel kipaso
Dressed Female : Wema Sepetu
East Africa Designer of the year : Martin Kadinda
Most Fashionable Music Video Africa Awards : Aje ya Ali kiba
Most Stylist Artiste East Africa Male : Ali kiba
Dressed Media Personality/Entertainer of the year Africa : Idris Sultan
Fashionista of the Year Awards East Africa : Hamisa Mabetto