Hat_trick ya Ronaldo Yaipa Madrid Ndoo Ya Dunia. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Hat_trick ya Ronaldo Yaipa Madrid Ndoo Ya Dunia.

Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Christian Ronaldo basi mambo yamekuwa tofauti.Leo Jumapili Disemba 18 Real Madrid imecheza dhidi ya Kashma Antlers kwenye bonge moja la Fainal ya Fifa Club World Cup.


Wenyeji Kashima Antlers walikuwa vizuri
tofauti na watu walivyokuwa wanawachukulia poa baada ya kuwabana washindi wa Champion League 2016 hadi dk 90 ubao ulikuwa unasomeka 2_2.Game ikaelekea kwenye dk za nyongeza na hapo ndipo Ronaldo
akaamua Mchezo huo.

Baada ya Filimbi ya Mwisho Madrid akawa mshindi kwa Magoli 4_2.Ronaldo amefunga Hat_trick kwenye Mchezo wa Vilabu bingwa Duniani.Bao la kwanza lilitokana na Mkwaju wa Penati baada akafunga goli baada ya kuvunja Off Side trick ya Kashima na kuweka kambani.

Akamaliza Hat_trick yake dakika ya 104 kwa shuti Kali la karibu.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More