Chris Brown Ashindwa Kujizuia Kwa Picha Ya Karrueche. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Chris Brown Ashindwa Kujizuia Kwa Picha Ya Karrueche.

Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe.Sijui Karrueche alimpa nini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana Hitmaker huyo wa "Party" Chris Brown amekuwa akifuatilia kila nyendo za Mrembo huyo ikiwemo kuwamaindi wanaume wanaommendea.


Mrembo huyo ambaye baada ya kuachana na Chris Brown anaonekana kuwa yupo Single amepost Picha kwenye Mtandao wa Instagram na kuweka Caption rahisi "Baby" kwenye Picha hiyo anaonekana amevaa T_shirt Nyeusi yenye picha ya muimbaji wa
 UK Sade na pia amevaa nguo ya ndani yenye rangi nyekundu.

Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment "Still Want It".

Pamoja na jitihada zote za kutaka kumrudisha Karrueche kwenye himaya yake Chris Brown "BREEZY" amekuwa akiambulia patupu.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More