BREAKING: PICHA: Magari zaidi ya mawili yamegongana leo asubuhi Mbeya. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

BREAKING: PICHA: Magari zaidi ya mawili yamegongana leo asubuhi Mbeya.

Ajali ya barabarani imetokea leo asubuhi eneo la Igunus mkoani Mbeya ikiwa imehusisha basi la abiria Mali ya kampuni ya New Force malori mawili ya mizigo na gari jingine dogo.Basi hilo hufanya safari zake kati ya Tunduma na Dar es salaam.

Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda wa ajali hiyo zinaeleza kuwa hakuna MTU aliyepoteza maisha.Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa kuhusu chanzo cha ajali hiyo na kama kuna watu waliofariki au kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo. Hizi hapa Picha za Ajali hiyo :
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More