Watu 5 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la kampuni ya Super Twiga iliyotokea nyanguge mkoani Mwanza.
Basi hilo lililoacha njia na kupinduka hufanya safari zake kati ya Musoma na
Geita.Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.