Breaking : Mabweni ya Shule ya Sekondari Ya Ufundi Mtwara Yawaka Moto. | Tino Ze Mastermind

TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS,MUSIC,VIDEO AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking News
Loading...
TANZANIA NEWS,POLITICS NEWS,CELEBRITY GOSSIP,ENTERTAINMENT NEWS AND SPORTS NEWS 24 HOURS.

Breaking : Mabweni ya Shule ya Sekondari Ya Ufundi Mtwara Yawaka Moto.

Mabweni ya Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mtwara (mtwara technical sec school) yamewaka moto asubuhi ya Leo na kuteketea kabisa.

Hakuna mtu aliyepata madhara kwa kuwa shule zimefungwa na hakukuwa na
Wanafunzi.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana lakini polisi wanaendelea na Uchunguzi wa moto huo.
Mabaki ya mabweni ya shule ya sekondari ya ufundi mtwara baada ya kuungua Leo asubuhi.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATE
KAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA

google+

linkedin

About Author
  • ASANTE MSOMAJI WETU KWA KUTEMBELEA BLOG HII MAALUMU KWA HABARI MBALIMBALI, USISITE KUWASILIANA NASI KAMA UNA HABARI PICHA VIDEO MAONI NA USHAURI MATANGAZO YA BIASHARA N.K. NAMBA ZETU NI 0714082857Read More