Klabu ya Dar es salaam Young African leo December 1 imemtangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu mwenye umri wa miaka 27.Kiungo huyo mkabaji amesajiliwa kwa mkataba wa miaka 2.
Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justina Zulu ataungana na kocha wake huyo wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi
Karibuni George Lwandamina.