Mtangazaji mahiri wa vipindi vya burudani nchini Salama Jabir ametangazwa na EATV Awards kuwa Host wa Eatv awards zitakazofanyika Disemba 10 katika ukumbi wa Mlimani City.
Jumla ya tuzo zaidi ya 10 zinatarajiwa kutolewa kwa wasanii wa muziki na filamu siku hiyo.Kupitia mitandao yake ya kijamii ya Twitter na Facebook EATV wameandika
"Tunamtambulisha kwako host wa
EATV Awards 2016 mkali wa hizi kazi Salama Jabir.