Mwigizaji wa filamu nchini Salma jabu Nisha baada ya kulalamika kubakwa na kupewa mimba na msanii wa muziki na baada kuikataa amekuwa akielezea ugumu anaopitia baada ya kupata Ujauzito katika mazingira ambayo hakuyafurahia amekanusha tetesi zinazoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Ujauzito alionao ni wa mwanamuziki Nay wa Mitego.
Mrembo siwema ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na msanii Nay wa Mitego aliandika ujumbe kwenye ukurasa wa Instagram akimtaka Nishabebe kusali na kuacha kutangaza shida zake kwani Nay wa Mitego ni mtu asiyekuwa na Fadhila.
Nisherbebebe akiwa na tumbo lake.
Baadaye nishabebe aliweka Ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "#Nay wa Mitego
Iko hivi kabla hujaandika kitu chunguza sio unakurupuka na kuandika Ujinga.
Ulinisikia na kuniona wapi nimekutaja kwamba wewe ndio baby dady wangu???
Hivi naanzaje kuzaa na wewe Nay???Kifupi pamoja na mapungufu na makosa
yaliyojitokeza kwa baba K wangu humfikii hata kwa kucha labda umemshinda hizo tattoo zako kama bibi
Harusi".
Nishebebe aliendelea "Nikuombe msamaha kwa kipi acha kudandia treni kwa mbele??? tena watishe hao hao
WANAUME SURUALI Mimi simuogopi
yeyote anayekojoa akiwa amesimama wala amechutuma tena USINICHOKONOE NB:Chanzo chako cha
Kutagiwa labda nikufunue akili yako ni hiyo coment huyo ni Mimi???Nna mahusiano naye??? Next time tumia akili
#NASEMA# HIVIII #SIMUOGOPI #MTU
YEYOTE alimalizia Nisherbebe kwenye Ujumbe wake huo.
SHARE HABARI HII NA WENZAKO WAIPATEKAMA UKIHITAJI KUWEKEWA MUONEKANO MZURI(BLOG DESIGNING) WA BLOG YAKO KAMA HUU WASILIANA NA RUBEN EMMANUEL KWA NAMBA 0716528779/0755542721 KARIBU SANA